Jambo hili nimeliona kwenye uwanja wa Aman nimeona ni la kushangaza kidogo kwa mtazamo wangu naona mgongano wa kimaslahi kwa taasisi hizi mbili Namaanisha CRDB Bank na NMB Bank mabango yao wote yanaonekana uwanjani kwa pamoja kama wadhamini wa Mapinduzi Cup.
Kibiashara hili halipo sawa ila kinjaa na ukata hili lipo sawa.
Kanuni za biashara hazijafuatwa kabisa hapa Kamati ya Udhamini
Kibiashara hili halipo sawa ila kinjaa na ukata hili lipo sawa.
Kanuni za biashara hazijafuatwa kabisa hapa Kamati ya Udhamini