Wadogo zetu tukiwashauri mtusikilize

Wadogo zetu tukiwashauri mtusikilize

Leverage

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
2,125
Reaction score
3,150
Wa kwanza msichana baada ya kukosa Law mlimani nikamwambia soma Education akaniambia mimi niitwe mwalimu haiwezekani. Akaenda kusoma BA History Mlimani hapo hapo. Kamaliza 2014, kapeleka barua makumbusho zote Tanzania kuanzia Butiama hadi Kilwa kimya. Sasa hivi anafundisha history kwenye vishule vya mtaani na malipo kiduchu.

Wa pili mdogo wangu kabisa nilikuwa naishi nae tangia sekondari. Alipomaliza form four nikamwambia dogo una C tatu za science tukupeleke Clinical, hapana nataka biashara. Basi kaenda A level kamaliza chuo IFM na hakuwa na loan. Tumemlipia Ada hadi meals. Kozi aliyosoma sijui inaitwaje mambo ya Risk management and insurance sina uhakika sana.

Kamaliza 2018, hajawahi kusikia kazi zao zimetangazwa popote hadi leo. Amebaki na mipango mingi isiyotekelezeka mara ana mpango wa kuanzisha kampuni ya bima mara anataka kuwa agent wa bima mambo meengi Ila shilingi mfukoni hana.

Mtusikilize wakubwa tumeona mengi.
 
Sasa si uwashauri tena kama wewe mshauri mzuri kuja huku hakuwasaidii chochote.
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Wa kwanza msichana baada ya kukosa Law mlimani nikamwambia soma Education akaniambia mimi niitwe mwalimu haiwezekani. Akaenda kusoma BA History Mlimani hapo hapo. Kamaliza 2014, kapeleka barua makumbusho zote Tanzania kuanzia Butiama hadi Kilwa kimya. Sasa hivi anafundisha history kwenye vishule vya mtaani na malipo kiduchu.

Wa pili mdogo wangu kabisa nilikuwa naishi nae tangia sekondari. Alipomaliza form four nikamwambia dogo una C tatu za science tukupeleke Clinical, hapana nataka biashara. Basi kaenda A level kamaliza chuo IFM na hakuwa na loan. Tumemlipia Ada hadi meals. Kozi aliyosoma sijui inaitwaje mambo ya Risk management and insurance sina uhakika sana.

Kamaliza 2018, hajawahi kusikia kazi zao zimetangazwa popote hadi leo. Amebaki na mipango mingi isiyotekelezeka mara ana mpango wa kuanzisha kampuni ya bima mara anataka kuwa agent wa bima mambo meengi Ila shilingi mfukoni hana.

Mtusikilize wakubwa tumeona mengi.
Bookish education inatuathiri sana, miaka 23 minumum unatoka chuo huna physical expirience yoyote unaja kupambana na ulimwengu.
 
Back
Top Bottom