Habarini wanajamvi. Nimekua nikisumbuliwa na wadudu wanaofukua udongo na kutengeneza mashimo kiasi ambacho jiran yangu ukuta wa nyumba yake umebomoka kwa kutitia, maana wale wadudu wanafukua chini kwa chini. Mwenye Suruhisho la tiba ya jinsi ya kuwadhibiti hao wadudu anisaidie plz kabla sijaingia kwenye matatizo.