kiye
Senior Member
- Apr 28, 2012
- 117
- 25
Habari wana JF.
Ni matumaini weng wetu ni wazima ila mimi hali si nzur sana.
Ndugu wana JF, naomba maelezo kwa wataalamu wa meno na kinywa. Kwa muda mrefu nilikua naumwa jino hatimaye leo nikaenda Clinic ya meno kwa lengo la kungo'a, katika uchunguzi daktari kaniambia zaidi ya meno 5 yametoboka na yanahitaji kuzibwa matundu. Baada ya kumuuliza huyu mdudu anyetoboa meno nawezaje kumuondoa? Amenijibu meno hayatobolewi na mdudu hata siku moja bali ni chakula chenye sukari ama kitamu.
Swali je meno hutobolewa na wadudu ama vyakula kama daktari alivosema?