Yeah inanifanya nisiamin kwan kuna dawa zipo pharmacy za maji na tube za kusukutulia ukizisoma zinaeleza zinaondoa wadudu wanaotoboa meno, so inachanganya hapo mkuu au we unaona inakaaje hapo.
Hukuelewana na dentist.
Kuna dhana kwamba kuna mdudu anayetoboa meno....kwa maana kula au kupekecha meno....ambayo sio kweli.
Kuna vijidudu vinatumia sukari na vinapatikana kinywani. Sasa hivi vijidudu vinatumia sukari ila vinatoa acid inayoozosha meno.....
Kwa hiyo kimsingi bacteria hawatoboi meno....ila wanafanya fermentation ya sukari na kupata acid inayoharibu meno.
Asante mkuu kwa maelezo mazuri, hivi mbali na kuacha kutumia vitu vya sukari ni dawa gani inaweza tumika kuweka kinywa sawa chenye meno yaliyoanza kutoboka?
Week iliiyopita nilienda muhimbili kwalengo la kutoa jino lakini nilizibwa tuu. nikauliza nifanyeje meno yangu yasiharibike tena maana nilikuwa nikikumbuka maumivu niliyopitia hapana kwakweli sitaki kuumwa tena jinoAsante mkuu kwa maelezo mazuri, hivi mbali na kuacha kutumia vitu vya sukari ni dawa gani inaweza tumika kuweka kinywa sawa chenye meno yaliyoanza kutoboka?
Week iliiyopita nilienda muhimbili kwalengo la kutoa jino lakini nilizibwa tuu. nikauliza nifanyeje meno yangu yasiharibike tena maana nilikuwa nikikumbuka maumivu niliyopitia hapana kwakweli sitaki kuumwa tena jino
Daktari alishauri ni muhimu kupiga mswaki usiku sana ni bora uache hata asubuhi lakini usiku ndiyo muda ambao mambo mengi yanafanyika hasa katika kinywa lakini kama umeswaki vizuri na dawa aina ya COLGATE na FOREVER ni dawa ambazo zina floride nyingi katika kuyakinga meno.
Epuka kula vitu vya sukari sana itakusaidia