Wadukuzi (Hackers) wametengeneza njia ambayo kila mtu ataweza kuchangia kuipiga Urusi na Putin

Wadukuzi (Hackers) wametengeneza njia ambayo kila mtu ataweza kuchangia kuipiga Urusi na Putin

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
2,192
Reaction score
5,685
Wadukuzi wametengeneza njia ya kushambulia urusi kupitia internet ili kupunguza wimbi la usambazaji wa taarifa za uongo (propaganda)

Njia wanayotumia inaitwa DDOS Attack (Distributed Denial Of Service) Kiufupi ni kwamba user akifungua hio link atatumia kifaa chake kutuma random requests kwenye hizo server na kisha server zitafulika na kuacha kufanya kazi, the more the requests, the higher the rate of success
 
....Sababu sielewi hata wanapigania nini......
unazima propaganda kwa usicho na uelewa nacho?
 
Tutolee upumbavu Nifanye hivyo kwa Faida ya Nani Ukrein Nani kwanza
Umtumikie Muuaji kisa!
Mbona kwingineko Wanako uliwa Watu hayo Hayafanywi!!
 
....Sababu sielewi hata wanapigania nini......
unazima propaganda kwa usicho na uelewa nacho?
Wanapigana kisha wanaua watu, hio inasaidia kuondoa madhara ya vita hivyo sina umuhimu wa kujua sababu ya kupigana.

Note: sihusiki kwenye kutengeneza hio program
 
Tutolee upumbavu Nifanye hivyo kwa Faida ya Nani Ukrein Nani kwanza
Umtumikie Muuaji kisa!
Mbona kwingineko Wanako uliwa Watu hayo Hayafanywi!!
Mkuu kunywa maji kwanza kisha punguza jazba.

Mie naleta habari tu sihusiki kwenye kutengeneza
 
Mzee unaweza kungongewa hodi sasa hivi na CIA nyumbani kwako, ohoo. Wenzio mambo haya wananltumiana kwa siri huko dark web wewe unatuma Jamiiforum kweli!!
 
Ingekua na maana kama hizi jitihada zote zingeanza tokea kipindi cha iraq na libya.......hao wazungu acha wanyooshane tu watajijua wenyewe
 
Mzee unaweza kungongewa hodi sasa hivi na CIA nyumbani kwako, ohoo. Wenzio mambo haya wananltumiana kwa siri huko dark web wewe unatuma Jamiiforum kweli!!
Mnachukulia vitu serious kupitiliza, hio mbona ni habari tu kama habari nyngne. Pia sijashiriki kutengeneza hio program

Imetengenezwa ili watu wa kawaida watumie sasa dark web utampata mtu gn wa kawaida, huko wapo black hats sana sana
 
Nyie danganyweni na hao wamarekani, Jumapili iliyo pita al Jazeera TV walio nyesha maiti za vijana wadogo zaidi ya 200 kutoka nchi za ulaya mashariki walio danganywa kwa ujira dola 3000 - 5000 na kukubali kwenda kupigana dhini ya wa Russia, siku ya mwisho li jamaa likawakung’uta na hypersonic cluster bomb wakaffa kama inzi wakiwa kwenye kambini za mafunzo zinazo ongozwa na CIA!
 
Wadukuzi wametengeneza njia ya kushambulia urusi kupitia internet ili kupunguza wimbi la usambazaji wa taarifa za uongo (propaganda)

Njia wanayotumia inaitwa DDOS Attack (Distributed Denial Of Service) Kiufupi ni kwamba user akifungua hio link atatumia kifaa chake kutuma random requests kwenye hizo server na kisha server zitafulika na kuacha kufanya kazi, the more the requests, the higher the rate of success
Kali linux ni nani alikwambia DDOS inafuta server? ID yako na knowledge yako haviendani kabisa...
 
Back
Top Bottom