kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
Wanapigana kisha wanaua watu, hio inasaidia kuondoa madhara ya vita hivyo sina umuhimu wa kujua sababu ya kupigana.....Sababu sielewi hata wanapigania nini......
unazima propaganda kwa usicho na uelewa nacho?
Mkuu kunywa maji kwanza kisha punguza jazba.Tutolee upumbavu Nifanye hivyo kwa Faida ya Nani Ukrein Nani kwanza
Umtumikie Muuaji kisa!
Mbona kwingineko Wanako uliwa Watu hayo Hayafanywi!!
Ungerudisha tu hiyo fedha ya mabeberu uliyochukua mkuu😊😊😊😊Mkuu kunywa maji kwanza kisha punguza jazba.
Mie naleta habari tu sihusiki kwenye kutengeneza
HaahaaaaUngerudisha tu hiyo fedha ya mabeberu uliyochukua mkuu😊😊😊😊
Mnachukulia vitu serious kupitiliza, hio mbona ni habari tu kama habari nyngne. Pia sijashiriki kutengeneza hio programMzee unaweza kungongewa hodi sasa hivi na CIA nyumbani kwako, ohoo. Wenzio mambo haya wananltumiana kwa siri huko dark web wewe unatuma Jamiiforum kweli!!
Kali linux ni nani alikwambia DDOS inafuta server? ID yako na knowledge yako haviendani kabisa...Wadukuzi wametengeneza njia ya kushambulia urusi kupitia internet ili kupunguza wimbi la usambazaji wa taarifa za uongo (propaganda)
Njia wanayotumia inaitwa DDOS Attack (Distributed Denial Of Service) Kiufupi ni kwamba user akifungua hio link atatumia kifaa chake kutuma random requests kwenye hizo server na kisha server zitafulika na kuacha kufanya kazi, the more the requests, the higher the rate of success