JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
1. Kwa kutumia Wi-Fi moja, watu wanapojiunga na mtandao mmoja wa Wi-Fi mdukuzi ana uwezo wa kuingia kwenye mtandao huo na kupata taarifa zote za watumiaji.
2. Wadukuzi hutengeneza hotispoti za uongo, ukijaribu kuingia kwenye hiyo hotispoti wana uwezo wa kudukua taarifa zako binafsi.
2. Wadukuzi hutengeneza hotispoti za uongo, ukijaribu kuingia kwenye hiyo hotispoti wana uwezo wa kudukua taarifa zako binafsi.
Upvote
0