Wadukuzi wanadai fidia ili kufungua tovuti za Serikali Msumbiji

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191

Wadukuzi wamepata tena udhibiti wa tovuti zaidi ya 30 za Msumbiji, saa chache baada ya serikali kusema kuwa imezima shambulio la Jumatatu.

Kundi linaloitwa "Yemen Hackers" limedai kuhusika na shambulio hilo la hivi punde.

Baadhi ya tovutizilizolengwa ni pamoja na mamlaka ya usimamizi wa majanga ya kitaifa, mamlaka ya barabara na mashirika ya maji, na wizara ya ulinzi na taasisi ya kitaifa ya usafiri wa nchi kavu.

Wadukuzi hao wameweka ujumbe katika moja ya tovuti wakitaka kikombozi ndani ya saa 24.

"Ikiwa jumla ya dola 20,000 haitahamishwa katika Bitcoin, data ya siri itavujishwa, ikiwa ni pamoja na ile ya Wizara ya Ulinzi na taarifa zote rasmi na barua pepe za siri," ujumbe huo ulisema.

Wadukuzi hao walisema "wamejipenyeza kabisa" katika wizara 34 na kwamba hakuna suluhisho la haraka.
Walisema kuwa serikali imepuuza ukubwa wa shambulio hilo.

Erminio Jasse, mkuu wa Taasisi ya Kitaifa ya Serikali ya Kielektroniki ya Msumbiji, siku ya Jumatatu alihakikisha kwamba hakuna taarifa yoyote iliyoibiwa.
Serikali inatarajiwa kutoa sasisho tena Jumatano.

BBC

========

Hackers say thy have regained control of more than 30 websites in Mozambique, after the government said it had repelled an attack on Monday.

A group called “Yemeni Hackers” said they were behind the latest attack.

The hackers said they had “completely infiltrated” 34 ministries, including the defence ministry.

Others targeted were the portals of the national disaster management, roads administration and water agencies, as well as the defence ministry and the national land transport institute.

The hackers threatened to release confidential data if there ransom demands were not met.

Erminio Jasse, the head of Mozambique’s National Institute of Electronic Government, had on Monday said that no information was stolen.

The government is expected to give an update again on Wednesday.
 
Hahahhaahdata zipo uchi .....IT haipewi mipaombele
 
The government is expected to give an
 
Nikiangalia websites na mifumo ya IT hapa TZ huwa nawaza sana website ipo ipo tu
 
United states of America wont negotiate with terrorists labda msumbiji wachukue hako kakanuni
 
Back
Top Bottom