Waelezee japo kwa ufupi hawa mabwana lemutuz na Mc pilipili

kzba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,355
Reaction score
789
Mi naona kama wanashabihana for some character huwa siwaelewi hawa ndugu zetu
Any wayz.
Najua wana bodi mna mengi kuhusu hawa watu
Hasa ki mienendo yao.
 
Hii ni dizaini ya swali la mtihani wa form four.
 
Mi naona kama wanashabihana for some character huwa siwaelewi hawa ndugu zetu
Any wayz.
Najua wana bodi mna mengi kuhusu hawa watu
Hasa ki mienendo yao.
Una hoja nzuri kiasi lakini implementation kidogo ina kasoro.. Yani hapa ni kama kuwajadili watu direct... Jambo ltakaloondoa ile sifa ya u great thinker
Ulichotakiwa kufanya ni hiki... Ungewafuatiia kwa karibu mienendo na tabia zao kisha ukaingia kutafuta maarifa ya ujuzi saikolojia, haiba, mtazamo na hulka za watu wa aina yao..
Ungeandika post yako kihivyo halafu wao wakawa kama case study tuu.. Ingekuwa bonge la post
 
Kaka mkubwa
 
Shukrani mshana wewe ni miongoni mwa watu nawaamini sana hapa jukwaani na ukichangia mjadala ninaoanzisha hapa huwa nafarijika sana
 
Back
Top Bottom