Waendesha magari ya Bolt changamoto zipi mnazokutana nazo katika hiyo kazi?

Waendesha magari ya Bolt changamoto zipi mnazokutana nazo katika hiyo kazi?

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Kuna mdogo wangu amemaliza high school ameniomba nimu nunulie gari ya kufanya bolt hapa dar es salaam ili aweze kukusanya pesa ya kujilipia ada chuoni ambae kwa jumla anahitajika 8m kwa kila mwaka.

Hiyo biashara siijui na sina uzoefu nao je kuna changamoto ngumu za kumzuia kupata hiyo pesa, pia gari gani ni nzuri kwa hiyo kazi naombeni ushauri.

On the same note pia kuna ndugu yangu mualimu anastaafu mwaka hu alinimba nimpe mtaji wa hiyo gari ya bolt atanilejeshea hiyo pesa ndani ya miaka miwili hivi inawezakana wenye uzoefu tafadhari ushauri wenu.
 
Tafuta nyuzi kibao zimeelezea mambo ya uber/bolt na changamato zake.

Sawa tagiri wa JF.
 
Naam mkuu changamoto ni magari ya tax mtandao yamekua mengi kila mtu anataka hiyo kitu ingawa kama unanunua gari usinunue ist au vits bali chukua sienta au wish ina xl ambazo ni chache, pili vibali vingi kuanzia leseni, bima,latra,tra, mwisho ni kaz ambayo inabidi ajitoe hasa maana faida yake ni ndogo kuliko tax za kawaida asilete ublaza men, siku nzuri ni alhamisi ijumaa jumamos na jumapili hukos laki laki kila siku
 
Shukurani mkuu kwa kunielezea hayo, nimeanza kupata picha halisi.
 
Asiendekeze tu usingizi basi, umri wa Chuo ni wa peer pressure kutumia laki 3 kwa siku moja ni jambo la kawaidaa
 
Tajiri huna baya, muweke hapo nyumban amsaidie mkeo aweze kupika milo mitatu.
Mkuu mimi sio tajiri isipo kua mimi nimpambanajisanaa labda kukupita kila fursa na utilise at the maximum, nimekulia katika maisha ya biashara na utafutaji mkuu acha unikejeli.
 
Asiendekeze tu usingizi basi, umri wa Chuo ni wa peer pressure kutumia laki 3 kwa siku moja ni jambo la kawaidaa
Mchana haifanyi kazi kuna ulazima wakufanya usiku mkuu yeye mpango wake ni kufanya kipindi hana vipindi mchana na usiku mpaka saa mbili.
 
Nimesikitika hapo kwa huyo mstaafu wa ualimu.
Mkuu watu wanastaafu with frustration en depression mafau yake anaona ni kati ya 18m kwa 25m hapo bado haja maliza nyumba yake watoto wengine bado wadogo laziam ajiongeze tu.
 
Back
Top Bottom