Shukurani mkuu kwa kunielezea hayo, nimeanza kupata picha halisi.Naam mkuu changamoto ni magari ya tax mtandao yamekua mengi kila mtu anataka hiyo kitu ingawa kama unanunua gari usinunue ist au vits bali chukua sienta au wish ina xl ambazo ni chache, pili vibali vingi kuanzia leseni, bima,latra,tra, mwisho ni kaz ambayo inabidi ajitoe hasa maana faida yake ni ndogo kuliko tax za kawaida asilete ublaza men, siku nzuri ni alhamisi ijumaa jumamos na jumapili hukos laki laki kila siku
Mkuu mimi sio tajiri isipo kua mimi nimpambanajisanaa labda kukupita kila fursa na utilise at the maximum, nimekulia katika maisha ya biashara na utafutaji mkuu acha unikejeli.Tajiri huna baya, muweke hapo nyumban amsaidie mkeo aweze kupika milo mitatu.
Mchana haifanyi kazi kuna ulazima wakufanya usiku mkuu yeye mpango wake ni kufanya kipindi hana vipindi mchana na usiku mpaka saa mbili.Asiendekeze tu usingizi basi, umri wa Chuo ni wa peer pressure kutumia laki 3 kwa siku moja ni jambo la kawaidaa
Mkuu watu wanastaafu with frustration en depression mafau yake anaona ni kati ya 18m kwa 25m hapo bado haja maliza nyumba yake watoto wengine bado wadogo laziam ajiongeze tu.Nimesikitika hapo kwa huyo mstaafu wa ualimu.