Waethiopia haramu 41 wakamatwa moshi kilimanjaro ati dreva amekimbia aisee??Why

Unajua maana ya haramu ukifika nchi ya watu bila kufwata mwongozo pamija na immigration we n haramu mkuu
 
Huwezi kuzuia human traffic, huo ni mtandao mkubwa.

Alichoamuwa muingereza sasa hivi ukitia puwa yako Uingereza kinyume cha sheria makazi yako Rwanda, Kagame ameshavuta mpunga wake.
Achaa mpwaa kwani si walisimamisha mahakama ya ulayq lile ziezi ama linaanza na wapya watakaokamatwa na sisi tuwapeleke tu Rwanda hawa waethiopia hakinajinsi hivi mbona madada hawapoogi wakijamatwaq
 
Unajua maana ya haramu ukifika nchi ya watu bila kufwata mwongozo pamija na immigration we n haramu mkuu
Ndicho sitaki huu ujinga. Yaani ni sawa mtu apite uwanjani kwako uanze kumwambia mzurulaji?

Tuweke miongozo rahisi wapit, wskikataliwa waendako watarudi kwao. Maana kwetu hawakai. Walipie kama geti pass usd 500 tupate fedha sisi.
 
Mipaka imetengenezwa na mkoloni ila wenye nchi zao wana njia zaidi ya 50 za kuingilia nchi na nchi

Tatizo sio mpakani kwani sio wote wanapita hapo
Huoni Trump kajenga ukuta ila watu kila leo wanaingia?
Ulaya na ubabe wote ila watu wanapenya
Hapa nawaona waethiopia wapya watoto wadogo wadogo na ndio hao hao wamepita huko na kufanikiwa kuingia Ulaya

Wahamiaji duniani watakamatwa lakini hawaachi kupita nchi na nchi
Rishi anawaleta hapo jirani wajazane kila aina ya watu sasa hao ndio wa kujichunga maana kuna mpaka wauwaji
Ethiopians watakuwa cha mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…