Waethiopia wana asili ya wapi?

Waethiopia wana asili ya wapi?

Leverage

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
2,125
Reaction score
3,150
Kwenye Uafrika hawapo, uzungu hawapo wala Uarabu hawapo pia.

FB_IMG_16285114834817646.jpg
 
Ethiopia na sampuli zake zote Asili yao mashariki,

Wamo djibout,erithrea na somali hata jamii ya tutsi.

Na wanafurahia sana kuhusishwa na jamii za ng'ambo.
Watu wa ajabu sana
Hahahaha umeua! Yaani wanafurahi kuhusishwa na Israel, Uturuki n.k?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaposema kwenye Uafrika hawapo unamaanisha nini?
Afrika kuna jamii nyingi tofauti kama ilivyo Asia na mabara mengine.
Siyo Waafrika wote ni Bantu kama wewe hilo lazima ufahamu.
Ethiopia siyo jamii ya watu wa aina moja, kuna Cushites, Nilotes na Omotic people na wote wana asili ya Afrika.
 
Uko sahihi sana. Waafrika wanatofautiana sana
  1. Waarabu (wale wa Afrika kaskazini) bado ni Waafrika
  2. Nilotes (wa Daatoga, Wamasai, Wapokot na Wadinka wa Sudan)
  3. Hamites
  4. Bantu (Wamakonde, Wahehe, Wazaramo nk)
  5. Cushites (Waeritrea, Ethiopia, Wairaq wa Manyara nk)
  6. Khoisan (Wahadzabe, Wasandawe)
 
Waarabu wa Afrika Kaskazini wanatokea Arabian Peninsula, wenyeji wa asili wa Afrika Kaskazini ni Amazigh / Berbers.

Amazigh asili yao ni Cushitic ingawa wengi wao kwa sasa wamechanganyikana na Waarabu na Wazungu kwa kiasi kikubwa.
 
Baadhi ya waethiopia wana asili ya Uyahudi (Bèta Israel). Miaka ya 1980 - 1990 israel ilifanya operation ya kuwarudisha israel baadhi ya waethiopia. MFALME Haile Sellasie ni kizazi cha mfalme (nabii ) Suleiman mwana wa Daudi
Hao waisrael waliorudishwa walienda Ethiopia kufanya nini?
 
Ethiopia na sampuli zake zote Asili yao mashariki,

Wamo djibout,erithrea na somali hata jamii ya tutsi.

Na wanafurahia sana kuhusishwa na jamii za ng'ambo.
Watu wa ajabu sana
Kwanini wasomali ni wakorofi kuliko wenzao wenye asili moja ?
 
Back
Top Bottom