Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 9,189 Reaction score 16,128 Jul 7, 2023 #61 Wengi ni machotara wa wanilotiki na watu wa mashariki ya kati. Kutoka pembe ya Afrika kwenda mashariki ya kati ni kuvuka tu kama unavuka mto.
Wengi ni machotara wa wanilotiki na watu wa mashariki ya kati. Kutoka pembe ya Afrika kwenda mashariki ya kati ni kuvuka tu kama unavuka mto.
Mpyena JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 981 Reaction score 1,243 Jul 7, 2023 #62 Halafu 'BANTU' ...hili kundi lina matatizo sana.