Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Kama ambavyo tuliona mdahalo wa CHADEMA mwezi Januari, nadhani kama watanzania tunahitaji pia kuona wagombea wa Urais wakichuana kwenye mdahalo kipindi cha kampeni.
Tumechoka kuona scripted speeches. Tunataka kuona watu watakaochuana kwenye Urais wakiwa on stage wakitetea hoja zao.
Kwenye chaguzi wa mwaka 2015, tuliona TWAWEZA waliandaa mdahalo lakini ni ACT Wazalendo, CHAUMMA na ADC ndio walikubali kushiriki lakini CCM na UKAWA wakaonesha kusuasua.
Ni muda wa donors au nchi wahisani kutusaidia. Waseme kwa umoja wao hakutakuwa na misaada iwapo kutakuwa hakuna mdahalo mwaka huu.
Tunataka kuona Samia akitetea hoja zake dhidi ya mgombea wa CHADEMA and vice versa.
Mambo ya kukariri speech alafu unakuja tuguizia on stage hatutaki.
Donors inabidi wamfahamu vizuri mtu watakayempa pesa zao. There is no point ya kumpa misaada mtu ambaye hata ku-debatw on stage hawezi.