Habari wanajamii,
Hopefully hamjambo na kwale wagonjwa ama tatizo lolote Mungu awafanyie wepesi.
Mimi mpya kabisa humu ndani sina budi kusema hodi, shida yangu ni kutaka kufahamu kuhusu wafadhili waelimu ya juu kwa mtu aliyepata chuo nje (scholarship).
Nimepata chuo nje ila sina mfadhili naomba nisaidieni wadungu km ni mtu binafsi ama link ndani na nje ya nchi kwa ufadhili wa masters.
Asanteni!