Wafadhili wa simba

Wafadhili wa simba

KAUMZA

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2010
Posts
699
Reaction score
237
WanaJF, hivi wale wafadhili wa klabu ya Simba miaka ilee bwana SHAFI BORA na AHMED BORA wapo wapi siku hizi? Maana wametoweka katika anga la futiboli
 
Back
Top Bottom