Gwiji la uchumi na maendeleo duniani joe stiglitz amewatolea uvivu wafadhili wanao liangamiza bara la afrika kwa kisingizio cha demokrasia. Professor huyo aliyewahi kuwa mshauri wa uchumi wa rais bill clinton amesikitishwa sana na hali ilivyo nchini libya ambapo kwa mara ya kwanza katika historia ya miaka 40 libya sasa haina fedha za kutosha kujiendesha ingawa kabla ya kuondolewa kwa gadafi ilikuwa na ziada. Professor huyo amewabwatukia wafadhili ambao walitoa mabilioni ya fedha kumuondoa gadafi na sasa wanawadai wanasiasa uchwara waliotumuka kujinadi kama wakombozi wa libya. Sasa wababe wa vuguvugu la mabadiliko nchini mwetu inabidi tuwe makini pesa wanazochukua huko ulaya watazilipa vipi vinginenvyo tutaluka majivu na kukanyaga ile bigjii kubwa.