Wafadhili waambiwa walete pesa za maendeleo siyo za kuchochea vurugu afrika zinazoeneza umaskini

mmwaisoba

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2012
Posts
434
Reaction score
24
Gwiji la uchumi na maendeleo duniani joe stiglitz amewatolea uvivu wafadhili wanao liangamiza bara la afrika kwa kisingizio cha demokrasia. Professor huyo aliyewahi kuwa mshauri wa uchumi wa rais bill clinton amesikitishwa sana na hali ilivyo nchini libya ambapo kwa mara ya kwanza katika historia ya miaka 40 libya sasa haina fedha za kutosha kujiendesha ingawa kabla ya kuondolewa kwa gadafi ilikuwa na ziada. Professor huyo amewabwatukia wafadhili ambao walitoa mabilioni ya fedha kumuondoa gadafi na sasa wanawadai wanasiasa uchwara waliotumuka kujinadi kama wakombozi wa libya. Sasa wababe wa vuguvugu la mabadiliko nchini mwetu inabidi tuwe makini pesa wanazochukua huko ulaya watazilipa vipi vinginenvyo tutaluka majivu na kukanyaga ile bigjii kubwa.
 
Magreat thinker kama nyie mpo wachache sana humu jf.Umeleta bonge la thread lakn nashangaa comment chache.Ila ingekuja thread ya umbea mmh ingekuwa mpaka sasa ina pages 5.anyway kwa ufupi umenena kweli mana hata haya mavurugu yetu ya mara kuchoma kanisa,mara kuchinja,yote yanaweza kuwa yana mikono ya watu nyuma yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…