Wafahamu Celebrities waliotoka familia bora

Awe wakishua atambe.. huko mikocheni kahamia juzijuzi kakulia moro yule tena kalelewa na mama huyo babake mzazi kamjulia uzeeni tena baada ya kwenda mjengoni.

C nasikia tena ni baba ake wa kumlea na kashalala nae, kwao ni mbez ya kimar ndo mama yake anapoish
 
Nimemsahau RIO PAUL, ALLY REHMTULAH, MARTIN KADINDA, FAIZA HAIDERY, JUX
 
C nasikia tena ni baba ake wa kumlea na kashalala nae, kwao ni mbez ya kimar ndo mama yake anapoish

Malinzi wa TFF sio babake mzazi ni babake mkubwa nadhani babake mzazi yupo ila ndo hivyo kamjulia ukubwani
 
Malinzi wa TFF sio babake mzazi ni babake mkubwa nadhani babake mzazi yupo ila ndo hivyo kamjulia ukubwani

Mmh na anapenda kuji paisha, ashukur mungu kasoma shule nzur na ana ajira yak inayomuwek mjin
 
Nimemsahau RIO PAUL, ALLY REHMTULAH, MARTIN KADINDA, FAIZA HAIDERY, JUX

Kadinda how ??? Yule St. Kayumba.... usiwasahau kina Nancy Sumari walioishi Kenya na Faraja Kotta nae kwao wa kishua bila kumsahau P Funk Majani enzi hizo anasoma IST na Master Jay pia kwao sio mchache nae kasoma nje msingi na chuo UK na maza wake mpk sasa anaishi South..
 
Na salama jabir je??, k-lyn,
 
bila kusahau mimi mwenyewe pia !
 
sio Jamal malinzi wa tff binamy

Ok, ivi umesikia umbea binamu wa uko insta?? Naona team wema wana msiba leo, nasikia kuna mtu kapost picha ya mama wema akiwa uchiii wa mnyama kipwapwiso chote nje, sasa haijajulikana ni kweli au editing
 
sijacheki binamu hiyo hatari kudhalilishana wazazi tena
 
Acha uongo ww, mama'ke GK Mama Kaihula alikua lectuler cbe na sio sekondary kama unavodai

Tatizo ni hizo kaya unazoendekeza!.. sasa uongo wangu upo wapi wakati mi kanifunsisha gs pale huyo mwalimu illegal( jina lake maarufu enzi zile). Huko kwingine labda ilikuwa part time tu. Ila proffessionally ni mwalimu wa sekondari. Kwa kifupi alimfundisha mnyika pia gs pale tambaza. Inawezekana michongo ya kuingia kwenye siasa kapewa na kijana wake mnyika. Watu wanatoka kwa kujuana nchi hii si ccm si chadema wala udp
 
Ok, ivi umesikia umbea binamu wa uko insta?? Naona team wema wana msiba leo, nasikia kuna mtu kapost picha ya mama wema akiwa uchiii wa mnyama kipwapwiso chote nje, sasa haijajulikana ni kweli au editing

binamu nimeona aisee madam analalamika mbaya ye mwenyewe anasema wamemuweza safari hii
hizi team hizi
 
binamu nimeona aisee madam analalamika mbaya ye mwenyewe anasema wamemuweza safari hii
hizi team hizi

Angewapiga marufuku hizo team zake kutukana watu hovyo, maana hizo team ndo chanzo, naona jipange kawa mpole leo , huyo aliyetengeneza hizo picha kawaweza
 
Angewapiga marufuku hizo team zake kutukana watu hovyo, maana hizo team ndo chanzo, naona jipange kawa mpole leo , huyo aliyetengeneza hizo picha kawaweza

Umeona eehh? Mie naona hizo team ni hatari sana na huyo diamond Kama anania na mtoto wa watu basi waoane maana kisa haswa ni diamond
 
Huyo mnyika unayemsingizia katoa mchongo ndo kwanza kawa mbunge 2010 baada ya kupigwa chini 2005. Kwani mtu ukifundisha sec huwez kujiendeleza mama wa watu ana masters sasa na anafundisha cbe mpk sasa baada ya kuacha huko. Na marehemu mumewe alikuwa mtu mkubwa tu serikalini enz hzo
 
Na salama jabir je??, k-lyn,

Kylin yah ila huyu mpepa kistuli ni ujanja tu wa town ila sio wakishua wala nn kawaida tu... Bila kusahau marehemu Langa R.I.P na Shaa pia hawa kwao tangu zile enzi za Coca popstars walitembelewa kwao mambo si haba ni watoto wa mikocheni na Obey
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…