Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
IFFHS ni shirikisho la Historia na Takwimu Kwenye mpira wa miguu ambapo Kwa kirefu ni International Federation of Football History and Statistics, Shirikisho hili lilianzishwa Mwaka 1984 na Alfredo Pohe huko Leipzig nchini Ujerumani.
Shirikisho hili limekuwa likijihusisha na upangaji wa timu Bora ya Mwaka lakini Kwa Sasa mpaka mwezi wanatoa idadi ya timu Bora na kigezo kikubwa wanachoangalia ni Performance (Matokeo/kiwango) Cha timu Kwa mda husika aidha mwezi mmoja, miezi 3 hata Mwaka mmoja, Kwahiyo timu inayofanya vyema Kwa mda huo Ina Nafasi ya kukusanya point nyingi na Kuwa klabu Bora Kwa Wakati husika.
IFFHS wanahusika na mashindano rasmi ya Ligi za ndani mfano Ligi kuu soka Tanzania Bara na michuano ya kimabara Kama vile UEFA Champions League, CAF Champions League.
Kwenye Kila Ligi timu zinazofanya vyema/ au timu za juu zinakusanya pointi tofauti na timu za Kati ( Mid Table Teams), Timu Kubwa Kwenye Ligi Kwa mfano Yanga na Simba hapa Tanzania timu za Level ya kwanza zikishinda wanapata point 4, Zikisare Point 2 na zikipoteza hazipati alama yoyote.
Team za level ya 2 zikishinda wanapata point 3 wakisare wanapata point 1.5, Timu za Level ya 3 zikishinda wanapata point 2 wakisare wanapata point 1 huku timu Level ya 4 wakishinda wanapata point 1 na wakisare wanapata point 0.5.
Huku Kwenye michuano ya mabara Kwa mshindi wa mchezo wa UEFA CHAMPIONS LEAGUE anapata point 14 huku sare ni point 7 huku Klabu Bingwa barani Afrika Mshindi anapata point 9 huku sare wanapata point 4.5, na michuano ya kombe la shirikisho mshindi anapata point 7 na sare ni point 3.5.
Kwahiyo IFFHS wanahusika na Kiwango Cha mashindano Kwa mda Fulani, Huku CAF yaani shirikisho la soka barani Afrika wanaangalia performance ya timu Kwenye michuano ya CAF aidha Kombe la Shirikisho Au Klabu Bingwa Barani Afrika Kwa mwendelezo.