Wafahamu kwa uchache "Madada Poa" wa Barabarani

Aiseeeee, sasa haya yote ni kwa ajili ya nini hasa ndugu yangu?
 
Yes, ulimuwahi maana angekuwahi ingekula kwako.
Ila hukufanya vyema.

Kuwa malaya haimaanishi ufanye utakavyo.
 
Asante sana..!!
 
my lady,
ni changamoto gani nzito ambayo uliwahi kukumbana nayo na hutoisahau maishani mwako wakati ukitekeleza hayo majukumu ya muhimu ya utafutaji kazini kwako?
miaka 15 ni muda mrefu mno na for sure hakuna shaka juu ya uzoefu wako.
Asanti
 
Inasikitisha. Je nini hasa chanzo cha kuwa Dada Poa? Je umeacha au unaendelea nao?

Dah sisi wenye watoto wa kike Mungu atusaidie. Ni fedheha sana kwa mzazi kuwa na mtoto wa namba hii.
Nilishaacha na mbona kuna uzi hapa niliuweka?

Kiukweli ni Mungu tu aingilie kati.
Wakati mwingine si mzazi anayesababisha bali watoto hawasikii kabisa.
Ni fedheha sana ila jamii ya sasa inaona kama ni kazi kama kazi zingine
 
Pale Elizabeth njia ya KWENDA lion hotel Nako kuna nauza uzq muwe makini sana hasa MADEMU WA mitandao ndio guest yao

Wamekodisha VYUMBA kama vyotee

Nilikamata namba kutoka kwa telegram DEMU akasema sh 30000 chumba chake..NKASEMA woi Wacha nizame Zuri BALAA..uliza wapi hio Elizabeth guest

KUFIKA simwoni akasema ingia duh KUINGIA nakuta chumba KIMOJA kati kuna pazia

Alafu PEMBEN nasikia DEMU anapiga kelele polepole unaniumiza pls..jamaa akamjibu si natumia helà Yangu

NKAMWAMBIA DEMU maana nilisharusha kumi NKAMWAMBIA siwezi ruka nae na mwanaume mwingine PEMBEN tukaenda nae bar tukanywa

Tukiwa tunakunywaa....akapigiwa simu na yule DEMU aliekuwa anamichwa njoo kipenzi huyu Malaya lazima ninfundishe adabu

Dk 5 nyingi defe...hiooooo ikawabeba wote mdada na yule jamaaaaaaaaaa

DEMU wangu akaja twende mapenzi wamepelekana polisi..nikiwa nagonga goli la pili nasikia hodiii mmh nkajua wamerudi Tena nkajifunika...Binti akasema SHEMEJI kula uroda uwe na amani yule mshenzi

Tulikubaliana nae kunt...30000 kufir...50000

Gafla kamaliza kumwaga golimbili MBELE akanza kuingiza anyuma akamshikilia ampe helà yake kwanza jamaa akasema anayo AKATOA 50000 akimaliza amwongezee 30000. Ttl 80000

Duh MSHAHARA huo...nkaendelea kudinyana na mdadaa goli kadhaa gafla mwenzie akafungua pazia SHEMEJI nipe HATA kumi na mm nipate Raha ya rafiki Yangu

Aisee akaja wakawa wawili kitandani HAPO nasali wasinianzishie..NKAMPA kamoja akasema nakupa offer ya kamoja nkamwomba tuagizewine tunywe tukag@iana vyao..wine ikapanda nkamchapa

Nawaachia wine nusu walifurahije

Toka siku hio Sina hamu na wanawake WA telegram
 
Na wewe ni dada poa.
 
my lady,
ni changamoto gani nzito ambayo uliwahi kukumbana nayo na hutoisahau maishani mwako wakati ukitekeleza hayo majukumu ya muhimu ya utafutaji kazini kwako?
miaka 15 ni muda mrefu mno na for sure hakuna shaka juu ya uzoefu wako.
Asanti
Asante.
Changamoto mbili kubwa nilizowahi kukutana nazo kipindi nafanya biashara hizi.

1. Mnapatana bei ya mtu mmoja, na anakuchukua mpaka kwake au lodge ila matokeo yake kumbe ana kundi la watu kawaandaa na kuishia kuingiliwa mbele na nyuma bila ridhaa na watu wengi na mbaya zaidi wengine si watumiaji wa mpira wa kiume

2. Kufanyishwa ngono na wanyama.
 
aise!
pole na hongera kwa ustahimilivu na subra katika kukabiliana na changamoto hizo.
swali do la nyongeza.

Una muda gani tangu ustaafu majukumu hayo magumu, mazito na hatari sana ya kujitaftia kipato kwa kugalagaza utu wako, au kazi bado inaendelea?

unawashauri nini ambao wanafikiria kuanza kazi hiyo ya fedheha mya lady?
 
So we ni "kitengo mkuu"?
 
Asante ndio hivo.

Niliwahi leta uzi humu na swali hili pia nilijibu.
Nina miaka kama 6 tangu niache
Ila kiufupi niliacha baada ya kupata fedha ya kujenga kibanda changu na kufungua biashara yangu ya Batiki.

Si nzuri kabisa
Magonjwa na hatari nyingi zinapatikana kwenye kazi hii.
Zinachakaza mwili, zinadhalilisha, zinaaibisha, zinashusha utu n.k
 
Hivi kati ya hao madada poa wanao uza uchi na yule mashungi bushiri samia muuza nchi ni yupi mpumbavu naombeni majibu tafadhari
 
Ulichoandika ni kweli tupu ndivyo ilivyo. Kwa kifupi madadapoa ni matapeli na wezi. Kuna watu wanadhani unaweza kumchakata dadapoa kama mke wako au mpenzi wako upendavyo. Wale uchakatachi wao ni shughuli pevu. Wapo pale kukusanya hela kitapeli, penzi maridhawa hutapata labda uongeze dau kubwa ndio utaingiza mjegeje mbunyeni, vinginevyo utaishia kubaniwa mapajani huku buku mbili yako imechuliwa. Ni kuwa makini makini sana na dadapoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…