Wafahamu kwa uchache "Madada Poa" wa Barabarani

Ulichoandika ni kweli tupu ndivyo ilivyo. Kwa kifupi madadapoa ni matapeli na wezi. Kuna watu wanadhani unaweza kumchakata dadapoa kama mke wako au mpenzi wako upendavyo. Wale uchakatachi wao ni shughuli pevu. Wapo pale kukusanya hela kitapeli, penzi maridhawa hutapata labda uongeze dau kubwa ndio utaingiza mjegeje mbunyeni, vinginevyo utaishia kubaniwa mapajani huku buku mbili yako imechuliwa. Ni kuwa makini makini sana na dadapoa
 
Huwa natembelea vijiwe vya dadapoa wa kila daraja, kuna daraja la juu wao hujiita mishangazi, ni aina fulani ya makahaba, umri wao ni mkubwa na bei zao ziko juu watu wenye scale kubwa ya hela ndio huwapata. Si mshirika wa biashara hiyo ila kuna stori huwa natafuta. Dadapoa wakinibana nawachia buku tana au mbili halafu sifanyi ngono nawaambia sijisikii vizuri.
 
Pia vilevile usisahau ndio kundi linaloongoza kwa kulea ving'asti hasa bodaboda ili kupata unafuu wa usafiri pale wanapokuja kukimbizwa aidha na askari au mgambo usiku.
  • Kiswahili ni lugha pana, kwa tuliotokea Mwanza, Tabora, Kigoma unatuia vigumu kuelewa hapa.
  • Hebu fafanua hii sehemu ving'asti .
 
Sijasoma yote lakini umeandika vema mkuu. Uwepo wa road wa dada zetu hawa sio kwa kupenda ila hali zao za umaskini zimachangiwa na upagani na ututusa wa serikali ya CCM.
 
Hii biashara inazidi kuenea kama moto wa nyika, si mijini tu hata vijijini ukahaba umetamalaki. Siku hizi hakuna penzi la bure, ni hela tu hata kama hujui kufanya penzi kwa ufanisi hiyo siyo ishu. Ndoa za watu zinaparanganyika wanandoa wanaingia rodini kukusanya hela za chapchapu. Kuishi na mke dadapoa yataka moyo wa uvumilivu na ujitoe ufahamu ili usaidiwe maisha kwa kuridhia mkeo afanye ukahaba, vinginevyo utajikuta single father. Kuna wanaume wanaishi na wanawake makahaba na maisha yao yanaenda poa tu. Ni kituko mume kuishi kwa kutegemea ukahaba wa mke wake
 
Kabisa
Na huwa inakuwaga hvo.
Labda utoe dau kubwa ndipo utalifaidi penzi halisi
 
Karibu.
Hizo story zote nazifahamu.
Na kingine ni kwamba rika moja halikai na rika lingine kuepuka kuharibiana soko
 
Sijasoma yote lakini umeandika vema mkuu. Uwepo wa road wa dada zetu hawa sio kwa kupenda ila hali zao za umaskini zimachangiwa na upagani na ututusa wa serikali ya CCM.
Wala sio CCM inasababisha haya yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…