Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Kwa rekodi za kipolisi IGP wa kwanza kurekodiwa ni Harun Mahundi ambayo alishika wadhifa huo miaka ya 1990s. Mwaka 1996 hadi mwaka 2006 wadhifa huo ulishikiriwa na Omary Mahita.
Kuanzia 2006 hadi mwaka 2013 Said Mwema alishika kijiti cha wadhifa huo, ambapo alipokezana na Ernest Mangu aliyeshika wadhifa huo kuanzia 2013 hadi 2016 ambapo aliingia kamanda Simon Sirro hadi 2022 ambapo Camilius Wambura ameteuliwa kushika wadhifa huo.
Nawasilisha.