connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,190
- 3,039
Kwa hiyo uelewe hii nchi ni yetu sote mlizoea vya kunyonga sasa mnarudishwa kwenye reli.Kwahiyo?🐼
Muungano tunu yetuZanzibar oyee
Wa Tanganyika kabaki nani?Abeid Amani Karume
2. Ali Hassan Mwinyi
3.Aboud Jumbe
4. Mohamed Abdulwakil
5.Salmin Amour
6.Amani Abeid Karume
7.Ali Mohamed Shein
8.Hussein Ali Mwinyi
Tuwaenzi1. Amani Abeid Karume (Kiongozi wa Waangalizi wa SADC katika Uchaguzi Mkuu wa Msumbiji 2024),
2. Salmin Amour 'Komandoo'
3. Dr. Mohamed Shein.
HakikaTuwaenzi
Huyu Mohamed Abdulwakil ndio yupi?Abeid Amani Karume
2. Ali Hassan Mwinyi
3.Aboud Jumbe
4. Mohamed Abdulwakil
5.Salmin Amour
6.Amani Abeid Karume
7.Ali Mohamed Shein
8.Hussein Ali Mwinyi