Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha madame mkuu?Mimi naanza na Wema sepetu, haya tusaidiane list nyingine
mmh wema ana nyota kama ya lowasa akionekana siku moja tu nishidakwakweli madame skuizi jipya hana...
Hamisa mobetto kaondoka na nyota ya Madame sepenga
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] binamu bwana naona kamtuma lokole ashawishi team wema wasimsapoti missaAnatia huruma mwenyewe sasa hivi, kawa mpole kama pili pili hoho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Team Wema imekua team hamisaAnatia huruma mwenyewe sasa hivi, kawa mpole kama pili pili hoho
Hata me simuelewagi hivi sio shoga yule[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] binamu bwana naona kamtuma lokole ashawishi team wema wasimsapoti missa
Huyo lokole mwenyeww sijuagi km me au ke!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mfyuu, naanzaje kuwa zilipendwa, warumi hachuji, labda nife