Ray Afya drinking waterMr nice
Dudubaya
Crazy GK
AY
MwanaFa
Jide 😀😀😀(warumi usiponde mawe)
Ray c
Ray mnywamaji
Uwoya
Mayasa
Mpwa ilibidi uanze na dada yako Judith Wambura a.k.a Lady Jay Dee kabla ya hata huyo Wema!!Mimi naanza na Wema sepetu, haya tusaidiane list nyingine
Huyo RED ndo Top in the list manake enzi zake....Banana
Tid
Chief
Sinta
Maimartha
Monalisa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kweeliMpwa ilibidi uanze na dada yako Judith Wambura a.k.a Lady Jay Dee kabla ya hata huyo Wema!!
Alikua kifaa mno huyu Dada..nikaja kumuona Masaki akiwa na saloon by the time nimemaliza sec 2012..sijui yuko wapi asee!Mercy Galabawa
Ninamkumbuka sana miaka ya 2000's.
Duu Sinta...nishamsahau aiseeBanana
Tid
Chief
Sinta
Maimartha
Monalisa
Ndo alikuwa kama Wema huyoHuyo RED ndo Top in the list manake enzi zake....
Huyu anayeuza dagaa mchele huyu sijui nani huyu naomba nikumbushwe... nan sijui.. akhaah!
Ehh.. huyo huyo.hahahahahha ferouz
Alikua wema sepetu wa enzi hizoHuyo RED ndo Top in the list manake enzi zake....
Of course, alikuwa ni Wema Sepetu wa enzi zile! Lakini kama wakati ule pangekuwa na FB na Instagram basi nadhani angekuwa ni zaidi ya Wema Sepetu!Alikua wema sepetu wa enzi hizo