Wafahamu wachezaji kumi bora kuwahi kutokea Tanzania mpaka sasa

Championship

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
5,500
Reaction score
10,616
Hawa ndio wachezaji bora wa mpira wa miguu kuwahi kutokea hapa Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ mpaka sasa:

1. Mbwana Samatta
2. Simon Msuva
3. Edbily Lunyamila
4. Sunday Manara 'Computer'
5. Juma Pondamali
6. Said Mwamba Kizota
7. Athumani Machupa
8. Zamoyoni Mogella
9. Juma Mkambi Jenerali
10. George Masatu

Mpambano ulikuwa mkali sana hivyo hawa hapa chini 50 nao ni wazuri lakini hawakuingia kumi bora:

Edward Chumila, Suleiman Matola, Sekilojo Chambua, Kenneth Mkapa, Abeid Mziba, Sanifu Lazaro, Steven Nemens, Costantine Kimanda, Monja Liseki, Said Maulid 'SMG', Mohammed Mwameja, Emmanuel Gabriel, Peter Manyika, Dua Said, Boniface Pawasa, Idi Moshi, Athumani Chama, Mohammed Hussein 'Mmachinga', Iddi Moshi, Victor Costa, Mecky Mexime, Joseph Kaniki, John Bocco, Juma Kaseja, Henry Joseph, Haruna Moshi, Mrisho Ngasa, Yusuph Macho, Madaraka Suleiman, Athumani Iddi Chuji, Nteze John, Shaban Nonda, Leodgar Tenga, Nadir Haroub, Malota Soma, Bakari Malima, Fred Minziro, Salvator Edward, Steven Mapunda, Abdalla Kibaden, Joseph Lazaro Tungaraza, Thomas Kipese, Hussein Masha, Mnenge Suluja, Hamis Gagarino, Athumani Mambosasa, Adolf Rishald, Peter Tino, Jella Mtagwa, Kasongo Athumani, Christopher Alex, Gibson Sembuli, Charles Boniface Mkwasa, Juma Mgunda, Kassim Issa, Ulimboka Mwakingwe, Ramadhani Lenny, Shadrack Nsajigwa.

Additional players wanaoweza kufanya list iende kwenye 70 badala ya 50
 
Juma kaseja , Mwwmeja, Hussein Masha, Kasongo Athumani, Jimmy Moredi, Selestin Mbunda, Na yule wa Kagera Sugar sijui nani nani...
 
Ujinga kujaza vizee mnavipa kichwa

Mkude sio wa kukosa umo
 
Kwa maoni yangu Simon Msuva na Athuman Machupa hawastahili kuwemo kwenye top 10. Abdalah Kibadeni, Athuman Mambosasa, Leodgar Tenga na Jellah Mtagwa walikuwa na impact kubwa zaidi kwenye mpira wa Tanzania.

Pia listi yako ya top 50 ina some above average players mfano Idd Moshi na Henry Joseph. Wafuatao walistahili kuwemo kwenye listi yako ya top 50. Issa Athuman, Godwin Aswile, Athuman China, Abubakar Salum, Twaha Hamidu, Raphael Paul, Alphonce Modest, Yusuph Bana, Ahmed Amasha, Nico Njohole, Mao Mkami, Nico Bambaga, Mtwa Kihwelo, Kitwana Suleiman, Fumo Felician, Mohamed Salim, Juma Amir, Makumbi Juma, Mussa Kihwelo na Method Mogella.
 
Nilikua nasubiri mtu wa kumkumbuka china
 
Lunyamila mchezaji ambaye hata watoto au wachezaji wadogo mtaani walijipa jina lake kama wanavyojip majina ya watu wa Mbele.
 
Sijui umetumia vigezo gani, ila Mrisho ngasa ni zaidi ya msuva....wote tumeonaa ila hao wazee sijui me nimeanza kua na akili ya kufatilia hao watu kuanzia 2005...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ