Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu salama?
Kulikuwa tetesi toka pande mbalimbali kuwa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete atagombea nafasi hii ya Uenyekiti wa Kamisheni ya Ummoja wa Afrika Mashariki, na kulikuwa na kama ka msuguano hivi baina ya wanaomuunga mkono Jakaya na wale waliokuwa wanamuunga mkono Raila Odinga.
Pia soma: Ni kweli Jakaya Kikwete anagombea uenyekiti wa kamisheni ya AU?
Majina wa wagombea wametoka na Kikwete hayupo, ni kwamba ameliwa kichwa au alikuwa hana mpango kabisa wa kugombea?
Wanaogombea nafasi hiyo ni;
Raila Odika - Waziri Mkuu Mstaafu Kenya
Anil Kumarsingh Gayan - Waziri mstaafu wa Mambo ya Nje - Mauritian
Mahmoud Ali Youssou - Waziri wa Mambo ya Nje - Djibouti
Richard James Randriamandrato - Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje - Madagascar