Wafahamu walinzi wa Papa huko Vatican

Wafahamu walinzi wa Papa huko Vatican

MeinKempf

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
11,093
Reaction score
7,229
Sehemu ya walinzi wanao linda makao makuu ya papa (baba mtakatifu) huko Vatican .
Vigezo vya kuwa mlinzi wa Vatican ni kama ifatavyo:
1.Lazima uwe mkatoliki
2.Lazima uwe haujaoa (msela).
3.Lazima uwe lraia wa Uswiswi (Swiss citizen)
4.Uwe na umri wa kati ya miaka 19-30.
5.Uwe na urefu wa anagalau sentimenta 175 .(175 cm)
6.Wanatumia ndogo ndogo za kisasa na za kienyeji .
swiss-guard-620x398.jpg
DSCN0076_25.jpg
1000.jpg
stock-photo-vatican-circa-april-pontifical-swiss-guards-stand-by-during-pope-elections-on-april-38564440.jpg
1305018893-pope-benedict-xvi-visits-venice_686230.jpg
pope_14_05_0905_555021a.jpg
image.jpg
o-THE-POPE-570.jpg
 
Hiyo ya kwenye Mtumbwi alikuwa anaenda wapi?
 
Jamaa ukiona wamevaa hizo nguo unaweza ona wapo wapo, jamaa wapo vzuri sana. Na training zao ni hatari sana
 
Kuna dogo mmoja alikuwa huko, baada ya mkataba kuisha, alirudi sasa hivi anasomea degree ya udakitari (MD). Hata mimi najiuliza kuna siri gani Kati ya Uswiss na Vatican??
 
Back
Top Bottom