Wafahamu walinzi wa Papa huko Vatican

walikuwepo hivyohivyo wakati wa utawala wa warumi
 
kule marekani mkatoliki kuwa rais ni ishu,kama sikosei aliwahi kuwa kennedy nae hakuchukua round wakammaliza....
Kanisa aliruhusu ndoa za jinsia moja The general church documents refer homosexual activity as crime pessimum (the worst crime) na utoaji wa mimba kama kosa kubwa sana grave sin Amri ya Tano inasema usiue. Mpaka hapo umeshapata picha kidogo ya siasa za marekani.
 
kule marekani mkatoliki kuwa rais ni ishu,kama sikosei aliwahi kuwa kennedy nae hakuchukua round wakammaliza....
Ni kweli!
Makamu wa Rais wa sasa Joe Biden ni Catholic pia!
 
sijajua bado kiulinzi, ila ki hadhi papa ni zaidi ya raisi wa Marekani
Mkuu nitakubaliana na wewe au mtu mwingine kama Papa ana pewa heshima ya kiuongozi wa kiroho,niliamini sana siku za nyuma kuwa papa anaulinzi mkali na bora kuliko ule wa rais wa Marekani
Baada ya kufanya utafiti wa kina Obama alivyokua KENYA na Papa alipodhuru KENYA nikaridhika na yule mtoto alivyoweza kujipenyeza mpaka akaa kwenye kiti cha Papa
Nikaona ngumu sana kuja kutokea kwa rais wa Marekani
 
Namba 6 unamaanisha nini
 
Pope Clement escaped through the "secret tunne?" A man of God escaped ? Ooh my Jesus ! Siamini bado natafakari ..... !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…