Wafahamu Wasaidizi Maalumu wa Kamarada Humphrey Polepole

Wafahamu Wasaidizi Maalumu wa Kamarada Humphrey Polepole

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Yeye mwenyewe hupenda kuwaita paracetamol

Ni wachapa kazi kwelikweli


FB_IMG_16079287916167829.jpg
FB_IMG_16079288011825108.jpg
FB_IMG_16079288247173893.jpg
FB_IMG_16079288195271026.jpg
FB_IMG_16079288011825108.jpg
 
Ulitakiwa uwataje kwa majina na mawasiliano yao, ili kuwapenyezea habari nao wampe polepole polepole nae ampe bashiru na baadae bashiru ampe jpm.

Lkn kutuletea picha peke yake nikama umekuja kuweka sura zao bila maana yyte, sisi ccm bwana tunazuka na mambo yasiyokuwa na tija yyte.
 
Safi sana huku ni katibu mwenezi kule ni mbunge

Ova
 
Upuuzi mtupu huu,haituhusu maana hana faida kwa taifa
Ukweli usemwe, huyu alikuwa kiboko ya Tototundu kipindi cha kampeni. Alifanya kazi iliyotukuka! Anastahili kuwa SG baada ya Kakurwa
 
Back
Top Bottom