Wafahamu watu 10 wa kwanza kutumia mtandao wa Facebook

Hongera zao wameingia kwenye historia
 
Bora huyo kuliko yule anayekwambia watu waliofanikiwa ni wale ambao ni school dropouts bila kuangalia mtu ana drop kutoka chuo cha aina gani.

Mtu ana drop chuo kama cha Kenford pale Tanga halafu anajifananisha na school dropout wa Havard.
Uwe havard drop out, uwe sijui hiyo kenford drop out wote hao ni drop out,

Kinachokuja kuwatofautisha hawa droup out mmoja atadrop akiwa na kitu cha kufanya na ana malengo ambayo goal yake ni lazima atekeleze tofauti na mwingine ambaye hana cha kufanya spesific ndo anaacha akatafute,

Kwahiyo hata kama mtu aki-drop havard bila kuwa na goal na uelekeo atakuwa fala tu
 
MIMI NPO TOP 100 YA WALIOJIUNGA FB, JAPO SYO SFA YA MAANA ILA NI MKONGWE
 
Nitajie havard drop out ambaye ni fala.

Mimi nawajua college drop outs wa vyuo vya mchangani ambao ni ma faler.

Unabidi uelewe Havard sio Udsm.
 
Nitajie havard drop out ambaye ni fala.

Mimi nawajua college drop outs wa vyuo vya mchangani ambao ni ma faler.

Unabidi uelewe Havard sio Udsm.
hatari sana ...ngoja na mimi nasubiri .jibu
 
Nitajie havard drop out ambaye ni fala.

Mimi nawajua college drop outs wa vyuo vya mchangani ambao ni ma faler.

Unabidi uelewe Havard sio Udsm.
Unawajua havard droup out wote????

Na je wa unawajua droup out wote wa vyuo vya kibingo????

Nadhani kama ungenisoma vizuri tungekubaliana kwamba lazima droup out awe na kitu cha kufanya ambacho ata-dedicate muda wake mwingi na anaona kama shule inapoteza muda

Sasa hebu na ww nitajie havard droup out aliyekuwa hana idea wa chochote na akaenda mtaani akachomoa
 
Nmekusoma arifu
 
vip hapo wale wenzetu wa hamsini hamsini wanasemaje mbona hakuna ke kwenye hizo ID 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…