Wafahamu watu 20 Matajiri zaidi katika Soko la Hisa la Dar es Salaam

Kuna watu wana hitaji msaada ktk hili bandiko, wengi hawaelewi kabisa wapo wapo...

Kwanza hakuna tajiri ambaye sio mwizi... Kama hii kauli ni kweli basi wahindi na wachaga wameiba... Hahahahahahahahaa
 
Mwaka juzi kuna huyo anuali na Sajjad Rajabali walinunua hisa zenye thamani ya tsh. 7.7bil za equity group huko Nairobi na kwa miaka 2 iliyopita walikua wamesha invest kwny Nairobi stock of exchange zaidi ya tsh. 33.7bil

Aunali and Sajjad Rajabali walinunua Tena hisa zenye thamani ya tsh 6bil za safaricom huko Kenya.
 
Naona wachaga wametisha sana hapa, sisi makabila mengine tutakuwa mafounder wa kuweka hela kwenye vibubu
 
Halafu anatokea likabila limoja linasema "hawa jamaa wa KLM ni wezi na wanapenda kujisifia".
Watu wamewekeza kwenye hisa mpaka LSE na NYSE huko,hisa zikapanda nauza,zikishuka nanunua.
'Likabila limoja' hii lugha sio ya kisomi kabisa..au chuki kwa makabila mengine..
Hayo makabila mengine yanafanya vizuri kwenye mengine pia..
 
Halafu anatokea likabila limoja linasema "hawa jamaa wa KLM ni wezi na wanapenda kujisifia".
Watu wamewekeza kwenye hisa mpaka LSE na NYSE huko,hisa zikapanda nauza,zikishuka nanunua.
Wezi ndiyo..kweni hisa kitu gani? Kinazuia mtu asiwe mwizi kwenye biashara zake? We nalo la wapi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…