Wafahamu watu 20 Matajiri zaidi katika Soko la Hisa la Dar es Salaam

Heh, basi nilijua machange si mchagga mwenzetu.

Massive respect kwake....
 
Pale Mwika kuna Machange mbili:-

Wanajiita Machange Ng'ombe - Matajiri

Machange mbuzi - Maskini

Wote ukoo mmoja [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] hapo pa kutofautisha masikini na matajiri. Yes, hiwa hizi koo zetu zimegawanyika sana. Hawa wazee wana hulka ya kuhamahama sana hasa pakiwa na ugomvi baina yao ama ardhi ikiwa adimu.
 
Machange, Shirima, Kilewo, Temu, Urassa, Lyakurwa, Macha. Chaggaz [emoji1487][emoji1487]
 
Hisa zinatengeneza ajira Gani?
Hayo makampuni waliyoweka pesa zao si yana operate!? Mfano CRDB, NMB nk. Basi hao wanaofanya hizo operation yani kazi za kila siku ni waajiriwa hao, ma-CEO, wahasibu, hadi mtu wa chini kabisa kama mfanya usafi. Naamini umeelewa kidogo...
 
E
Hayo makampuni waliyoweka pesa zao si yana operate!? Mfano CRDB, NMB nk. Basi hao wanaofanya hizo operation yani kazi za kila siku ni waajiriwa hao, ma-CEO, wahasibu, hadi mtu wa chini kabisa kama mfanya usafi. Naamini umeelewa kidogo...
EHwaa Asante sana
 
E

EHwaa Asante sana
Pamoja, naona humu badala ya kujifunza tunabishana ukabila aisee. Tz tunashida sanaa. Mimi sio mchaga lakini najua baadhi ya tamaduni zao, ni wawekezaji wazuri sana, hawaogi ku risk pesa zao kwa hofu ya kufilisika, wapambanaji ndio maana wapo sehemu nyingi hapa Tanzania, wanajua kudeal na pesa ndiyo maana wanaitwa wabahiri coz hawezi tumia pesa kwenye kitu ambacho hakitamuongezea pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…