Wafahamu watu 20 Matajiri zaidi katika Soko la Hisa la Dar es Salaam

Kwanini wasiite tu CHAGGA STOCK MARKET EXCHANGE
 
hapa kwenye Utajiri wal Swala Oil and Gas ni changa la macho.
 
'Likabila limoja' hii lugha sio ya kisomi kabisa..au chuki kwa makabila mengine..
Hayo makabila mengine yanafanya vizuri kwenye mengine pia..
"Likabila limoja" namaanisha mjinga mmoja anayependa kuzungumzia ukabila.
 
Shusha list ya mtajir tuone izo mbwembwe tu 🤣🤣🤣waarabu hawapo ila kweny matajiri utawakuta
 
Hawa jamaa wakati DSE inaanzishwa walikuwa na Macho ya Kipanga/Tai (Eagle's Eye) Waliwahi kununua hizi hisa wakati zinatolewa katika Initial Public Offer(IPO) au immediately baada ya IPO
Nyakati hizo hisa huwa za bei ya chini sana husubiri muda upite ili shares zao zipate appreciation. Kwa mfano kampuni kama TCC, Twiga Cement au TBL ukiangalia thamani yake tangu zinaanza kuuzwa mpaka leo unaweza kukuta thamani yake(Capital Appreciation) imeongezeka kwa zaidi ya mara 1,000
Ukiangalia sana hii ni biashara inayohitaji
1. Jicho linaloona mbali

2. Uwe na subira na uvumilivu/uwe na uwezo mkubwa wa kuongea na njaa yako
Mara nyingi huwa ni biashara kati ya ALIYEKOSA SUBIRA (Muuzaji) na MWENYE SUBIRA(Mnunuzi) ambaye yuko tayari kusubiri kwa miaka kadhaa akifuatilia makuzi ya thamani ya hisa zake na dividends

3. Uwe una mahesabu makali

4. Uwe na Washauri Mahiri, ktk hao top 20 kila mmoja hapo ana jopo la Washauri ambao wanamsaidia kufanya maamuzi kulingana na mahitaji ya soko
 
Mkuu tupe projection ni kampuni gani yenye future nzuri ambayo ipo listed DSE?
 
Hizo dollar wanazipataje??,,watupe elimu na sisi makabila mengine🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Samahani, mumejuaje kama wachaga wanaongoza, naomba ufafanuzi ( au ni hayo majina ya massawe? )
Mimi sijui majina mengine ya wachagga, someone anikokotolee
 
Kijiji gani??
 
Ukwasi wa Muhegi ni mshahara wa CRB au ni ujasiliamali gani?
 
Halafu anatokea likabila limoja linasema "hawa jamaa wa KLM ni wezi na wanapenda kujisifia".

Watu wamewekeza kwenye hisa mpaka LSE na NYSE huko, hisa zikapanda nauza, zikishuka nanunua.
Kweni siyo wezi? Kuweka hisa kunamzuia mwizi kuiba? We likiazi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…