Uchaguzi 2020 Wafahamu watu 75 waliokuwa wabunge wa CCM walioliwa kichwa na kukosa uteuzi. Wamo Mwakyembe, Tizeba, Nkamia, Chenge, Adadi, Ngeleja, Masele nk

Wewe umepewa List ya watu waliokatwaa Kama kuna wengine Wamepatiwaaa bhasi pia kuna kukosea piaa so soma chukua kinachokufaaa sepa sio kuanza kukosoa alipokoseaa alafu unamshikia mtoa mada bango ebu andaa yako uliyoipatiaa bhasii..[emoji849][emoji849] wabongo bhana mmekaa kutafuta makosaa tuu...!!

Sena chenge na ngelejaa wangejikataa mapemaa tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu muongezee na Steven Wasiraa hapoo kiufupi hata Bashitee hakutegemea alichokiona ni kama Kakatwaa tuu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna Mbunge wa ccm mwenye mawazo mapya wote ni ya le yale ya siku zote kupiga meza
 
comment yako ya "akili hazina akili" ni ya mtu ambae hakufanya vizuri darasani
🤣🤣🤣Ulifanya vizuri wew una nn? Cha kujivunia? Unakaa kwa shemeji yako, Gari huna, nyumba huna, mke huna, watoto huna, mifugo huna, mashamba huna hata kakiwanja tuu huna ,nunuwa hata kule chanika mwisho...
Sikufanya vizuri Ila Nina Degree, CPA(T) na Masters Nina mke, watoto wawili, nyumba, Gari na siyo vile vyombo vya usafiri, mashamba yapo kisarawe na mifugo iko huko

Ndiyo maana nimesema akili yako haina akili 😃😃😃😃 una stress za kukaa kwa shemeji na kubeti
 
Acha waliwe vichwa wengine tumechoka kuwasikia toka tuko wadogo mpaka leo mf. Chenge, Nagu, mkono, n.k.....
Angekuwa baba /mama ungechoka kumsikia Acha roho mbaya usifurahie kushindwa kwa mtu
 
Pole, tunataka sura mpya na mawazo mapya.
Mawazi mapya hayapatikani ndani ya Sera zile zile kila mwakaa zisiofatwa na kutekelezwa na mtu tofauti wa chama hicho hicho yani sawa na Kubadilisha Dereva wa Gari Bovu ukitegemea litakuwa zima kisa umebadili dereva
 
Kuna yule dogo Mlinga mropokaji tunamkaribisha mjini tumfundishe namna ya kutumia mafao yake
 
Mawazi mapya hayapatikani ndani ya Sera zile zile kila mwakaa zisiofatwa na kutekelezwa na mtu tofauti wa chama hicho hicho yani sawa na Kubadilisha Dereva wa Gari Bovu ukitegemea litakuwa zima kisa umebadili dereva
Katika ushindani gari iwe bovu au imara dereva yule yule miaka nenda rudi anachosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…