Uchaguzi 2020 Wafahamu watu 75 waliokuwa wabunge wa CCM walioliwa kichwa na kukosa uteuzi. Wamo Mwakyembe, Tizeba, Nkamia, Chenge, Adadi, Ngeleja, Masele nk

Aiisee huyu jamaa alitusumbuwa sana hapa mjini Bora apotelee mazima [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] nazani hatupimwi tena tezi dume nyumba kwa nyumba
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wazee wa dar watapumua sasa.
Maana ilikuwa hatupumui mara kupimwa tezi dume mara kusaka vyoo vinavyotiririsha maji na migambo yake.
 
Adadi, chenge ngoma ngumu round hii
Wamelipata

Ova
 
Angekuwa baba /mama ungechoka kumsikia Acha roho mbaya usifurahie kushindwa kwa mtu
Kwa hiyo kama ni mzazi wako ndio utafurahia aendelee kuwa mlafi na kuwazibia vijana riziki miaka yote kama alivyo wasira?Kwa nini usimshauri kuanzisha biashara zingine akaachana na siasa.
 
Wakiwa ccm huwa hawaekewi kwanini wenzao huwa wanataka tume huru ya uchaguzi
 
Mawazi mapya hayapatikani ndani ya Sera zile zile kila mwakaa zisiofatwa na kutekelezwa na mtu tofauti wa chama hicho hicho yani sawa na Kubadilisha Dereva wa Gari Bovu ukitegemea litakuwa zima kisa umebadili dereva
CCM ni ile ile ukoo wa panya
 
Y
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wazee wa dar watapumua sasa.
Maana ilikuwa hatupumui mara kupimwa tezi dume mara kusaka vyoo vinavyotiririsha maji na migambo yake.
Yani katika kitu nashukuru ni kumkata huyu Bashite ,Sasa hata road hamna misafara ya hovyo hovyo Sasa tunapumuwa na kufurahia jiji,, Ile ishu ya kupima tezi dume ilikuwa inafikilisha sana maana kukutia dole siyo mchezo 😊😊😊😊
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Unatiwa dole tena bila hiari yako dah ilikuwa ni bonge la ubabe aisee
 
Hii habari imejaa uongo; si wote waliotajwa waliomba tena kupitishwa mfano Prof. Tibaijuka, Nimrod Mkono hawakuomba
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wazee wa dar watapumua sasa.
Maana ilikuwa hatupumui mara kupimwa tezi dume mara kusaka vyoo vinavyotiririsha maji na migambo yake.
Daudi A Bashite anazawadiwa Ubunge kwenye vile viti maalum 10 vya mtukufu na kisha kupewa wizara ya mambo ya ndani ili awakomoe chadema na baadhi ya wanaccm waliomzodoa kipindi hiki yupo nje ya Benchi
 
Hii habari imejaa uongo; si wote waliotajwa waliomba tena kupitishwa mfano Prof. Tibaijuka, Nimrod Mkono hawakuomba
Habari haijaa uongo bali ina mapungufu machache sana kama hao wawili tu na kukosekana jina la Steven wasira mle
 
Ngoja tuone mchezo unavyokwenda
Daudi A Bashite anazawadiwa Ubunge kwenye vile viti maalum 10 vya mtukufu na kisha kupewa wizara ya mambo ya ndani ili awakomoe chadema na baadhi ya wanaccm waliomzodoa kipindi hiki yupo nje ya Benchi
 
Daudi A Bashite anazawadiwa Ubunge kwenye vile viti maalum 10 vya mtukufu na kisha kupewa wizara ya mambo ya ndani ili awakomoe chadema na baadhi ya wanaccm waliomzodoa kipindi hiki yupo nje ya Benchi
Hicho kitu ndiyo bado kinaniuma sana naomba maana ataanza kutusumbuwa sana na kutukomoa Tena maana Ile bichwa inapenda misifa sana,, Naomba Raisi ampotezee mazima🤔🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…