Uchaguzi 2020 Wafahamu watu 75 waliokuwa wabunge wa CCM walioliwa kichwa na kukosa uteuzi. Wamo Mwakyembe, Tizeba, Nkamia, Chenge, Adadi, Ngeleja, Masele nk

Juma Nkamia CCM wenzake wamefurahia kupigwa chini kwani huwa wanamuona kama mbunge kihere here mjuaji mno mpaka kapitiliza, CCM nao hawawapendi washambenga mipasho
Cccm hii hii au CCM nyingine??
 
Atapewa ubunge wa kuteuliwa
Ubunge wa kuteuliwa ni veto mbaya iliyosalia Tanzania ikija katiba mpya ipunguze idadi ya hivyo viti visalie vitatu na hivyo vitatu viwe na mashariti kuwa mteuliwa asiwe mtu aliyeshindwa kwenye kura za maoni
 
Endelea kuota ndoto za mchana

Unapata ujasiri sana kutokana na hujuma na wizi wa kura ulioshamiri katika chaguzi zetu, ndio maana unasema hayo maneno.
Usifurahiye uhalifu ndugu, utatoa hesabu siku ya mwisho mbele za MUNGU
 
Wapinzani mnapenda sana kupiga ramli. Haiwezekani bunge jipya lisheheni wabunge wote wa zamani lazima kila bunge jipya liwe na wabunge wapya walau nusu ili kupata mawazo mapya na bora zaidi...

Haya wawagaragaze Wabunge wa CCM waliotemwa na kuhamia upinzani na wafuasi wao ambao watapigia kura upinzani. Itafurahisha kuona Mgombea wa upinzani Mtemi Chenge (mzee vijisenti) aliyepeta kwenye kura za maoni za wajumbe wa CCM akigaragazwa na kijana muunga mkono juhudi wa CCM aliyepitishwa.
 
Haki itendeke tena ikiwezekana kura ziesabike kama mlivyokuwa mnapigiana kura za watia nia wa ubunge Ccm
 
d Rajab (
Mtu amekuwa mbunge miaka kumi na tano na zaidi lakini kero za watu ziko palepale sasa ni wa nini.Mh Rais wa JT kwa miaka mitano tu Mabadiriko kibao hadi nchi za nje wanakubali wewe kajimbo tu hata visima 2 au kutatua kero za ardhi kwa kushirikiana na wananchi umeshindwa sasa uendelee ili iweje.
 
Hayo ndio matokeo ya CCM kuiuza nchi utumwani Rwanda ,sasa maamuzi yote ni ya mtu mmoja tu kutoka uhutuni chatooo.
 
Hao wanaenda rasmi uraiani kuwaonesha vijana namna ya kujiajiri.
 
Ila kwa namna moja CCM ipongezwe kwa kuwatosa akina (Chenge, Ngeleja, Chegeni, Serukamba, Obama, Nkamia nk) maana waliona kama vile bila wao majimbo yao hayapati maendeleo! Bora kuleta sura mpya ambazo zinaweza kuleta chachu ya maendeleo
 
Kiherere cha NK ( - oo aongezewe miaka 5, oo kipindi kiwe miaka 7) - hakikusaidia
 
Unabisha hao wote wanaenda kuuza ramani kwa Lissu ngoja ccm mwaka huu mnapotezwa acha kukariri hakuna pakutokea anga zote zimefungwa
Ukibisha sana Mnyika atahamia CCM..Oohooo.

Ukiwa katibu mkuu CHADEMA lazima umalizie safari yako CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…