Wafahamu watu wanaoingiza pesa nyingi kwenye media industry

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
1. Millard Ayo - Clouds FM
2. Jamal April - Wasafi TV
3. Nelson Kisanga - Wasafi FM
4. Tido Mhando - Azam TV
5. Reuben Ndege - Clouds Media
6. Maulid Kitenge - Wasafi FM

Utafiti huu umeangalia mishahara, bonus na deals zao.
 
Jamal naipenda Sana kazi yake lakn muda mwingine kwenye picha zake za insta .....zinatia hofu......
 
1. Millard Ayo - Clouds FM
2. Jamal April - Wasafi TV
3. Nelson Kisanga - Wasafi FM
4. Tido Mhando - Azam TV
5. Reuben Ndege - Clouds Media
6. Maulid Kitenge - Wasafi FM

Utafiti huu umeangalia mishahara, bonus na deals zao.
Sijamuona gadner hapo!.
Nakumbuka Boss wake mwenyewe alisema kuwa ndo mtangazaji anaepokea Mshahara mkubwa.
 
Millard amewapita mbali sana hao jmaa uliowataja hata Kumlinganisha nao ni kumvunjia heshima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…