Wafahamu watu wanaoingiza pesa nyingi kwenye media industry

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada hupitwi weyeeeh lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Naanzaje pitwa Sasa mdogo wangu...🀣🀣🀣🀣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naanzaje pitwa Sasa mdogo wangu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukaenda hadi IG kuhakiki km n kweli lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukaenda hadi IG kuhakiki km n kweli lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eehhh!!..Mambo ya kuambiwa juu juu Hapana Kwakweli.. wengine tuna damu za utomaso etiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wakuu, hizi media kama wasafi, clouds, EATV wana mshahara ya kawaida mno na kuna muda wanashikana mashati.

Yn hapa bongo watoe TBC na Azam Tv ila hao wengine kwenye mishahara ni kipengele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…