Wafalme hutoka katika familia maskini

Tatizo lililopo ni kwamba watu hata hawajui ni kitu gani chenye kushindanisha Ali k na diamond. Kina kitu ambacho lazima ukubali kuwa Diamond kamzidi Kiba,lakini pia kuna kitu ambacho lazima ukubali kuwa Kiba kamzidi Diamond.
Lakini kinyume na hivyo ndio maana watu wanatokwa mapovu tu kila siku.
 
Kwahiyo mkuu hapo bado nini katika hivyo ulivyo vieleza ili nae Diamond tumuone sawa tu kama na akina Cris brown au Beyonce?
 
Ingelikuwa Daimond Mkenya au katokea kenya basi SIFA na Taadhima kubwa ingetawala dunia...
ila nasikitika waTZ wa bongo ni watu tusiependa mwenzetu afanikiwe (sii D/P ila yyote tu) !!
Huyu jamaa kajituma sana kufikia hapo alipo...Hongera !!


MK254 hebu njo utusaidia kuwaPromot wandugu (majirani zako)!!
Frankestain Pongezi kwako
 
Nyie wa mapela kama mnafikiri nyimbo ni ujumbe kamlinganiasheni na bizman
kama mnafikiri nyimbo ni sauti kamlinganisheni na barnaba
kama mnafikiri nyimbo ni kuimba ujinga kamlinganisheni na rich mavoko

Kama unataka kujus mziki ni nini kamuulize domo
msanii wenu wa kupendwa kariakoo tu tutampiga marufuku maana mbaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…