Wafamasia kesho mna jambo lenu, kipi Cha kujivunia tiririkeni tunufaike kama jamii

Siku hizi wamebanwa kweli hawaibi madawa kirahisi. Yaani madawa yamekua na urasimu wa hali ya juu. Zamani kila mfamasia alifungua duka la dawa ila mtaji walitoa duka la serikali.
 
Bongo hakuna wafamasia bali watunza stoo za dawa na kugawa dawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…