Wafanya usafi maofisini kimbilio la madomo zege

Kutafunana ofisini safi sana
 
Yaani full kujiachia kisha mnaendelea na kazi
 
hawa ndio watu waliokopeshwa na serikali kusoma elimu ya juu,na wadogo zao sasa hivi mishipa ya shingo imewatoka wanadai kwa nguvu kukopeshwa wasome, wamalize,wapate kazi wakagegede wafanya usafi!!!kweli?!na wanafanya yote hayo wengine wapo private sector hata kulipa mikopo bado wanafuja hela kwa kugegeda wafanya usafi na mna magari ya tinted pia!
 
Inabidi waajiri waongeze mishahara angalau wafanyakazi wachukue mademu viwango.
Maana sipati picha demu kapigwa na jua kalowa jasho unamvamia tu tena fastafasta bila kujiswafi.
Ndiyo maana fangasi haziwaishii, mnatusumbua hospitalini.
We we Ushaw kuwaona hawa wadada? Wana nguo za kazi na nguo za kujia na kuondokea kazini. Tofauti yao na wale wengine ni elimu tu, wengine wanaoa kabisa!!!
 
kwa kazi zilivyo ngumu, unapataje muda wa kuwafikiria wafanya usafi?
 
Dah hii mada imenikumbusha mbali sana....wakti flani A town ndio naingia kwenye ofisi flani wakafungua jengo nikapewa chemba mona huko nikiwa al alone. Wengine wakiwa wing tofauti na mahali nlipowekwa mie...mpaka naondoka hapo ofisini nlitumia jengo hilo kama mara 5 tano hivi. Walipoweka camera zao wakawa wameniokoa na mie kujiokoa pia. Otherwise ingegeuka lodge ile ofisi...maana later on nikaja kugundua tena kuna wafanyakazi wenzangu wa kiume kama watatu hivi plus mkurugenzi msaidizi huwa wanajilia vitu ofisini kwao siku za weekend. Tena wanakula hao hao workmate...ni hataree sana
 
Hiyo hatare mke wako ilisha mwambia katabia aka
 
Zimewekwa ili wafanyakazi wafanyie mapenzi chooni au zimewekwa ili kuwalinda wanapokuwa huko mtaani?
Tusidanganyane...kwa zile show za fasta fasta nani anakumbuka condom??acha UKIMWI utumalize tu kwa upumbavu wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…