A
Anonymous
Guest
Natokea wilaya ya Chato kata ya Bwanga mkoa wa Geita.
Kuna kitu kinaniuma sana kila mwaka MWENGE wa Uhuru ukikaribia kupita kuna kuwa na michango ambayo wanakuwa wanaombwa akina mama Wanaouza pombe za kienyeji sh 1,000 kila mmoja, maduka ya dawa 10,000 kila mmoja, maduka makubwa ya bidhaa zingne kuanzia 5,000 hadi 10,000
Sasa najiuliza hizi hela huwa niza nini hasa?
Je, huu mwenge wa Uhuru hauna bajeti yake?
Kama una bajeti yake kwanini ofisi ya Mtendaji wa Kata na Kijiji wanachangisha hizi pesa?