Yaani we Acha mie mwenyewe leo nimeenda nimeganda.Nimetafuta Duka la kuchange Pesa mpaka nikachoka nikaamua kurudi zangu home.Nchi imesimama
Serikali haijifunzi tu?
Juzi tu wamegoma mkoani huko na Serikali ikabadilisha mfumo mpaka January.
Huu Mradi wa Mashine za kodi sijui nani kauleta,haya ndio yale mambo ya Speed Governers haya.
Juzi waligoma mkoani huko,kwamba wao hawakatai kulipa kodi,ila kwanini Serikali ilazimishe mpaka ununue kwa mawakala wao na bei kubwa,wakati kuna watu wanaziagiza na kuzua kwa bei ya chini?
Kazi kweli kweli.
Sasa tumetoka kwenye kizazi cha Maandamano na sasa kwenye kizazi cha Mgomo,na hii ni mbaya sana.