Wafanyabiashara kariakoo hawajafungua maduka leo

WAPOMA

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2012
Posts
689
Reaction score
175
Maduka mengi leo yamefungwa,wanunuzi wamekaa nje huku wakiwa wameshika tama!!.Kisa mashine za kodi!!!!!

Tanzania nakupenda kwa moyo wote!!!
 
Yaani we Acha mie mwenyewe leo nimeenda nimeganda.Nimetafuta Duka la kuchange Pesa mpaka nikachoka nikaamua kurudi zangu home.Nchi imesimama

Serikali haijifunzi tu?
Juzi tu wamegoma mkoani huko na Serikali ikabadilisha mfumo mpaka January.
Huu Mradi wa Mashine za kodi sijui nani kauleta,haya ndio yale mambo ya Speed Governers haya.

Juzi waligoma mkoani huko,kwamba wao hawakatai kulipa kodi,ila kwanini Serikali ilazimishe mpaka ununue kwa mawakala wao na bei kubwa,wakati kuna watu wanaziagiza na kuzua kwa bei ya chini?

Kazi kweli kweli.
Sasa tumetoka kwenye kizazi cha Maandamano na sasa kwenye kizazi cha Mgomo,na hii ni mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…