mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
Ikiwa baada ya siku chache kupita ambapo Viongpozi walibembelezwa kusikiliza na kutatua kero za Wafanyabiashara kariakoo bila mafanikio, wafanyabiashara hao wameadhimia kugoma mgomo usio na kikomo mpaka watakaposikilizwa na kutatuliwa kero zao.
Kwa uchunguzi wa chini chini kuhusu mgomo huo unaratibiwa kwa usiri mkubwa kwa kile kinachoelezwa kuhofia usalama wa wahusika.
Hivyo tutegemee lolote kutokea kutoka pande hizo.
Kwa uchunguzi wa chini chini kuhusu mgomo huo unaratibiwa kwa usiri mkubwa kwa kile kinachoelezwa kuhofia usalama wa wahusika.
Hivyo tutegemee lolote kutokea kutoka pande hizo.