Mbuzi wamekata kamba unategemea niniWakati Mkapa No Mgomo, JK migomo, JPM no mgomo, mama SAMIA mgomo
Watanzania hatujui kugomaIkiwa baada ya siku chache kupita ambapo Viongpozi walibembelezwa kusikiliza na kutatua kero za Wafanyabiashara kariakoo bila mafanikio , wafanyabiashara hao wameadhimia kugoma mgomo usio na kikomo mpaka watakaposikilizwa na kutatuliwa kero zao.Kwa uchunguzi wa chini chini kuhusu mgomo huo unaratibiwa kwa usiri mkubwa kwa kile kinachoelezwa kuhofia usalama wa wahusika.Hivyo tutegemee lolote kutokea kutoka pande hizo.
Hawatafungua biashara? Wakifanya hivyo nani anapata hasara , who caresIkiwa baada ya siku chache kupita ambapo Viongpozi walibembelezwa kusikiliza na kutatua kero za Wafanyabiashara kariakoo bila mafanikio , wafanyabiashara hao wameadhimia kugoma mgomo usio na kikomo mpaka watakaposikilizwa na kutatuliwa kero zao.Kwa uchunguzi wa chini chini kuhusu mgomo huo unaratibiwa kwa usiri mkubwa kwa kile kinachoelezwa kuhofia usalama wa wahusika.Hivyo tutegemee lolote kutokea kutoka pande hizo.
Kwahiyo Wafanyabiashara wapemba wanagoma kwa Waislamu wenzao?Wakati Mkapa No Mgomo, JK migomo, JPM no mgomo, mama SAMIA mgomo
Benny,Hawatafungua biashara? Wakifanya hivyo nani anapata hasara , who cares
😂🤣😂Wakati Mkapa No Mgomo, JK migomo, JPM no mgomo, mama SAMIA mgomo
Najua sana na nina andiko linalo husu mjasiriamali na yayo mzunguka Kwa ufupi linasema asilimia 80 ya mafanikio kwenye biashara yanamtegemea mjasiriamali ama mfanyabiashara lakini asilimia 20 ni mjasiriamali na yanayomzinguka, ambapo kama jamii itanyamaza kuto buni mbinu za kukabiliana na yasiyoyatarajiwa, (changamoto), basi hii asilimia 20 Ina weza kuwa na nguvu hata kuua biashara, I have also possible solutions, yaani Niko vizuri kuliko hata inavyo fikiri hapa nilitaka kuzijua changamoto walizo ainisha naandika kitabu cha ujasiriamali kilicho fikirishiBenny,
Ni kweli hujui kwamba serikali na uchumi kwa ujumla unaathirika?
Drkila siku wafanyabiashara wamekua wakiwekewa mazingira mazuri kabisa juu ya biashara zao hivyo hilo ni dua la kuku ndugu
Bennykama jamii itanyamaza kuto buni mbinu za kukabiliana na yasiyoyatarajiwa basi hii asilimia 20 Ina weza kuwa na nguvu hata kuua biashara, I have also possible solutions
Ninalo mkuu ila siwezi kuliweka hapa mpaka liwe na patent, kuna mambo yanayo sabisha kukwama kumbe nikwasababu ya jamii kunyamaza,(kuto kuhoji), na kupokea hata vitu ambavyo havina afya katika biashara, niishie hapo naweza chafua hali hewa hata hivyo nimetumia lugha kifichoBenny
Unamaanisha nini jamii kutobuni mbinu za kukabiliana na yasiyotarajiwa?
Nione hilo andiko mkuu?
Wanawekewa mazingira yasiyo shirikishi Ndiyo maana hayana mapokeo chanyakila siku wafanyabiashara wamekua wakiwekewa mazingira mazuri kabisa juu ya biashara zao hivyo hilo ni dua la kuku ndugu